Umeshawahi kushangaa au kujiuliza kwanini wanawake wanatofauti kubwa sana na wanaume, hizi sekunde 40 za hii video zitakueleza kila kitu utajua tofauti ya mwanaume na mwanamke.
Kuna tofauti nyingi sana kati ya wanaume na wanawake, Kuanzia tulivyoumbwa kwa muonekano wa kimwili na jinsi tunavyochukua vitu kihisia, na ninao uhakika umegundua hata jinsi wanaume wanavyocchukulia mahusiano ni tofauti kabisa.
Tatizo kubwa kwenye mahusiano mengi ni wanaume hawajui nini wanawake wanataka.
Katika video hii, tunamuona “Rafa” Nadal Parera, mchezaji wa tennis na Steafanie Maria “Steffi” Graf, mchezaji wa zamani namba 1 wa tennis kutoka Ujerumani, kinachotokea baadae ni tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke…na ndicho tunachokihofia.