Inafurahisha kumuona “Amen” rapper, MMG signee, Philly native, boyfriend wa Nicki Minaj akitoa ushauri wa mahusiano au kuhusu kitu chochote, Meek amechukua muda wake kidogo kuwashauri wanawake wote na kuwaonyesha cha kufanya kupitia insta accont yake, inavyoonekana ameona watu wanaandika quotes za kutosha #LOL hawezi kusema hivi bila kuexperience.
Alipost hivi “Kuweka nukuu hakutamfanya mshikaji wako hakupende” in English please “Putting up quotes isn’t gonna make your n**ga love you.”
Kwa sasa Meek Mill anadate na first lady wa YMCMB “Super bass” rapper, Grammy Awards winning artist Nicki Minaj baada ya kuachana na mpenzi wake Safaree.